Washukiwa 3 wanaohusishwa na visa vya kuwavamia waendeshaji magari kwenye Barabara ya Southern Bypass Jijini Nairobi wanahojiwa na maafisa wa polisi.   Watatu hao; Brian Mwangi, Nickson Muchirina mtoto mwenye umri wa miaka 15 ambaye hajatambuliwa walinaswa wakiwa wamejihami kwa panga na silaha nyinginezo.   Watatu hao wanashukiwa kuhusika na visa kdhaa vilivyoripotiwa hivi karibuni.   Hiki ni kikundi cha pili cha wahalifu kutiwa mbaroni baada ya wengine 6 ambao walikamatwa baada ya kumvamia msafiri mmoja na mwanawe.


Nairobi;Southern Bypass;polisi