Conjestina Achieng na and Ruth Ebola jijini Kisumu halipo tena baada ya promota wa pigano hilo na shirikisho la ndondi nchini kutoweka, kulingana na bondia Conjestina. Na sasa, kilichosalia ni uchungu wa bondia huyu aliyeshutumu waandalizi kwa kumchezea shere.