Hatimaye usimamizi wa ligi kuu ya soka nchini na shirikisho la soka limezika katika kaburi la sahau malumbano yaliyokithiri kwa muda. Kamati maalum zitaundwa kutatua donda sugu la usimamizi tofauti tofauti wa shughuli za ligi kuu, timu ya taifa na ratba ya soka nchini kwa jumla.