Kwenye makala ya darubini hii leo tunamwangazia Suleiman Shahbal ambaye ni mwenyekiti na muasisi wa benki ya Gulf African Bank pamoja na kuwa ametangaza azma yake ya kuwania kiti cha ugavana kwa mji wa Mombasa.