Mtazamaji ebu tafakari, jee ingekuwaje iwapo serikali ingeamua kufungua zahanati ambazo zinatoa mihadarati kama vile bangi kwa wagonjwa walio na maumivu makuu kutokana na amgonjwa mbalimbali? Bila shaka ni pendekezo ambalo wengi hawawezi kubaliana nalo hasa ikizingatiwa kampeni zinazoendelezwa dhidi ya matumizi ya mihadarati nchini.lakini hali sivyo katika jimbo la California ambamo kliniki zimefunguliwa zinazopeana bangi kwa wagonjwa kwa lengo la kutuliza maumivu.hata hivyo baadhi ya waraibu wa mihadarati wanadaiwa kutumia mwanya huu kukata kiu chao kupitia maumivu bandia.


Bangh ban protest in California