Baadhi ya wanasayansi leo hii waliandaa warsha ya kudadisi vyakula vya kisaki ikiwemo mahindi yaliyokuzwa kwa njia ya kisayansi yaani gmo ili kubaini kuwa iwapo vyakula hivyo vinaweza kutumika kwa matumizi ya binadamu ama la . Huku baadhi yao wakisema kuwa hakuna haja ya kuwepo kwa mzozo kama unaodhihirika kwa hivi sasa mzozo kwani tayari baadhi yetu tumekuwa tukitumia bidhaa zinazotengenezwa kwa njia ya kisayansi.