Kiongozi wa mashtaka katika Mahakama ya kitaifa hague louis Ocampo anadai kwamba serikali ya Kenya inakandamiza juhudi zake na kesi iliyoko hague, kwa kuwalinda washukiwa wakuu wa ghasia za baada ya uchaguzi. Ocampo vile vile anasema kwamba siasa za humu nchini zinaendelea kuhatarisha kesi hiyo.


Ocampo on Govt not co-operating