Mkurugenzi wa mashtaka nchini keriako tobiko bado hajatoa mwelekeo wa ombi la kukamatwa kwa mbunge wa Nambale Chris Okemo na aliyekuwa mkurugenzi wa kampuni ya kusambaza umeme KPLC James Gichuru . Inaelekea kuwa huenda Tobiko akawa kwenye njia panda kwani uamuzi wake huenda ukaathiri mwelekeo ambao bunge litaamua kuhusu uteuzi wake kama mkurugenzi wa mashtaka nchini .   


Tobiko’s big test