Pendekezo la wabunge hapo jana kupunguza idadi ya mawaziri kama hatua ya kupunguza  bajeti ya serikali limeibua maswala ya jinsi serikali itakavyoitika mwito huu. Jee watauitika kuratibu swala la gharama bila kuhofia maafa yake kisiasa? Aidha tayari kuna mawaziri watatu walioko nje wakiwemo william ruto,henry kosgey na moses wetangula. Na jinsi inavyodhihirika ikiwa rais kibaki na waziri mkuu raila odinga watachukua hatua yeyote ile hawataepuka karata ya uchaguzi mkuu 2012.


cabinet;