Siku mbili zilizopita tumekuwa tukiangazia jinsi kina mama wanajifungua watoto wengi maneo ya Turkana na Pokot hadi pale mfuko wao wa uzazi utakapojifunga.umekuwa ni mzigo mkubw akwao huku wanaume wakionekana kusisitiza kwamba ni sharti wanawake hao kujifungua watoto wengi kiasi cha mipira ya upangazi uzazi kuteketezwa moto.lakini pigo sasa limekuwa ni kwa wanawake ambapo baadhi yao wamefariki  wakijaribu kujifungua na watoto wengine kupata ulemavu.huyu hapa mwanahabari wetu Purity Mwambia na sehemu ya tatu na ya mwisho ya “ Chovya Chovya  la Uzazi”