Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamo anadaiwa kunajisiwa na wanaume kadhaa baada ya kupatikana kwenye kichochoro kimoja amepoteza fahamu katika eneo la Hamza kwenye barabara ya jogoo. Hii ni baada ya wasamaria wema   kumpata akiwa amelala uchi. Aidha maafisa wa polisi walilaumiwa vikali kutofika kumwokoa licha ya kuarifiwa tangu asubuhi na wao kuwasili saa tisa mchana


Rape;woman;