Ukistaajabu ya nyoka mweupe kujipinda katika nyumba ya wenyewe huko busia..shangazwa sasa na haya ya fisi wa aina yake waliopatikana katika mbuga ya wanyama ya tsavo mashariki ambao ni wa kwanza kuonekana humu nchini…na idadi yao ni elfu kumi pekee ulimwenguni..na sasa maafisa wa wanyama pori humu nchini wanakiri kwamba fisi hao wa kipekee huenda wakawa kivutio kikuu cha utalii.


Rare; hyena;