Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga wameongoza baraza zima la mawaziri kwa warsha ya kipekee mjini ukunda kusini mwa pwani. Ujumbe wa Rais Mwai Kibaki ulilenga kuwahimiza mawaziri na manaibu wao kufanya kazi kwa pamoja ili kuwezesha utekelezaji wa katiba mpya.


Baraza La Mawaziri