Waziri Wetangula leo aliwekwa kibindoni baada ya ripoti ya mauzo ya balozi sita kuwasilishwa bungeni na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na mambo ya nje Adan Keynan. aidha kamati hiyo imetaka waziri Wetangula kuondolewa ofisini kwa kutowajibikia zaidi ya shilingi biloni moja katika mauzo au ununuzi wa balozi hizo hadi uchunguzi utakapokamilika. Hata hivyo spika wa bunge aliahirisha mjadala huo hadi wiki ijayo. 


Hatma Ya Wetangula