Maafisa weapoliis wa kituo cha kinoo wameuwawa majambazi wanne wiki chache tu baad aya maafisa wakituo hicho kudaiwa kwuatia nguvuni vijana kumi na wanne na kisha miiili yao kupatikana imetupwa katika msitu wa kinale. Aidha wanne hao walikuwa katika kundi la majambazi sita waliokuwa wamejihama na kufanya msururu wa uvamizi leo asubuhi katika nyumba nne mtaani humo. Gari lilikuwa wakitumia kusafirisha bidhaa walioziba lilinaswa na kwa sasa lipo katika kituo cha polisi cha kinoo.