Ikisalia siku kumi na mbili kabla ya kura ya maoni kufanyika swala la amani kufikia sasa ndilo lipo kwenye midomo ya wengi Hususan wakati huu ambapo tahadhari imetolewa na tume zenye kushughulikia agenda ya nne .Hata hivyo katika kitongoji duni cha Kibera sehemu mmoja iliyokumbwa na ghasia za baada ya uchaguzi  vijana waliotwikwa jukumu la kuwa mabalozi wa amani wameanza shughuli ya kuhamasisha vijana wenzao kuhusiana na hasara ya vita na kujihadhari na wanasiasa wenye uchochezi wakati huu wa kampeini na hata wakati wa kura ya maoni zipora karani na taarifa hio kwa kina.


Vijana Wenye Amani