Kwa mara ya kwanza tangu mshukiwa wa  mauaji ya watu sita huko Kisii George Okoth kujitangaza hadharani na kutiwa mbaroni , familia yake imejitokeza na kuelezea mshangao wao. Kwa mujibu wa mamake George Okoth Josephine Okoth kwake mwanawe alikuwa mwana mwema mwadilifu na aliyekuwa na mwongozo mwema katika jamii wala sio mui kama ilivyodhihirika. Ktn ilizuru kijiji hicho na kukuandalia tarifa hii.


Mauaji Ya Kisii