Je unajua kwamba kadri unavyobugia vyaklula vya mafuta na kvuvuta sigara kila mara ndivyo unavyohatarisha maisha yako? hatari yenyewe ni kwamba huenda ukapatwa na ugonjwa wa moyo …na katika kujali afya yako, makala yetu ya afya yako siku hii ya leo yanaangazia ugonjwa wa moyo na aina ya upasuaji unaotekelezwa kulingana na mgonjwa alivyoathirika .