Baada ya kununua silaha haramu na kuisafirisha hadi jijini Nairobi na kuvuka vizuzi vya polisi bila maafisa hao kunasa silaha hiyo, tunaibua masuala kadhaa , je wa kulaumiwa ni nani ? na je mwelekeo sasa ni upi? .tunapoangazia suala hili pia tunatafakari maisha ya jamii ya Turkana huku serikali sasa ikitishia kuwapokonya sialaha wanazotumia kulinda mifugo . Huyu hapa mwanahabari purity mwambia na sehemu ya tatu na ya mwisho ya makala ya mko’ngoto wa bunduki.