Kwa mara nyingine tena kizaazaa kilizuka wakati wa uchaguzi wa wajumbe wa chama cha ODM katika ukumbi wa Bomas pale wanachama wa chama hicho walipopinga vikali jinsi uchaguzi huo na ugavi wa mamlaka ulivyokuwa ukitekelezwa.