Sekta ya matatu imeelekezewa kidole cha lawama kwa kuwaudhi abiria hasa manamba wasio na adabu,ukidhania ni humu nchini tuu hebu tizama ugomvi huu uliojiri kwenye matatu Uganda. Haya ni katika makala ya vioja na viroja


Vioja na viroja