Jinsi muda unavyosonga na uchaguzi mkuu ujao kukaribia, siasa zinazolenga uchaguzi mkuu mwaka ujao zinaendelea kuchacha huku mbunge wa Eldoret kaskazini William Ruto akishikilia kwamba atawania urais. Chama kipya cha UDM kikiongozwa na naye vile vile kinaendelea kupata umaarufu, miongoni mwa wanasiasa.