Mtazamaji tafakari haya, umepata kazi mahali kokote kule na mshahara uliokuwa ukipata uliweza kukumudu wewe na familia yako. Ghafla unashtukia wakati wa kustaafu umefika na akaunti yako iko tupu. Leo katika makala yetu maalum mwanahabari wetu Saida Swaleh anazungumza na watu wawili ili kujua maisha yanawaende vipi baada ya kustaafu na kututayarishia makala haya.