Afisa mmoja wa kijeshi kwa jina Peter Njiiru Macharia ameuawa katika hali ya kutatanisha huko  Nyathuna ,Kabete katika eneo bunge la Kikuyu . Mwili wa afisa huyo ulipatikana mapema asubuhi ya leo mita chache kutoka nyumbani mwake baada ya kudaiwa kushiriki kwenye unywaji pombe usiku wa kuamkia leo. Wenyeji wa eneo hilo wametaka walinda usalama kudhibiti unywaji pombe unaodaiwa kuongezeka mno.


Army sergent killed-Swahili