Wakaazi wa thika na wale wanaotumia barabara kuu ya thika, kwa sasa wana kila sababu ya kutabasamu.  Hii ni kufuatia kukamilika kwa asilimia 55 ya upanuzi wa barabara hiyo . Barabara hiyo kuu inatajarajiwa kukamilika ifikapo mwezi wa disemba mwaka huu na kukamilika kwake kumetajwa kuwa kutamaliza misongamano ya magari mbali na kuunganisha miji mengine ya humu nchini kupitia barabara hiyo


Thika road;