Hali ya wasiwasi iliikumba familia mmoja baada ya kuwasili kuchukua maiti ya nyanya yao  kwa mazishi na kugundua kuwa haikuwepo, kisa na maana mwanamke mwengine mwenye jina kama la nyanya huyo alikuwa amezikwa na jamii nyengine . Mtazamaji haya yalijiri huko Naivasha ambapo jina Hannah Wangare lililomilikiwa na wanawake wawili lilipozua purukushani na kusababisha maiti kufukuliwa. zipora karani na maelezo zaidi .


Purukushani Ya Maiti