Na,Hassan Ali

Timu ya Everton imehemaki mno kutokana na tabia ya Chelsea kuendelea kumnyemelea mshambulizi wao Mbeligiji Romelu Lukaku.  Habari zaarifu kuwa uongozi wa Everton unapanga kukutana na wakili wa Lukaku mwenye umri wa miaka 23, Mino Raiola ili kupata ufumbuzi wa uhamisho wa mchezaji huyo.


Romelu Lukaku;Everton;Chelsea