Jackson Ngechu makini wengi wakimfahamu kama prezzo msanii mwenye mbwembwe na mahanjam ya aina yake ameipa sura tofauti sanaa hii ya mziki afrika mashariki na kati kwa kutofautiana na wengine kimtindo amerudi tena jukwaani lakini ni mbinu gani anayotumia baada ya kutoweka …..?