Utata unaendelea kuzingira mfumo uliotumika kuwachagua wanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. Frank  otieno anayo taarifa kuhusu kijana mmoja - ian  shimenga, aliyeibuka wa  kwanza katika shule ya booker academy mjini mumias; ambaye licha ya kupata alama mia nne thelathini na mbili, hadi sasa hajapata nafasi katika shule  ya kitaifa. Je, itakuwaje akose kabisa nafasi katika shule zote za kitaifa?


Top; student; miss; national;school