Watu 2 wamefariki na wengine watano kupata majeraha mabaya ya moto katika eneo la Giakanja huko Nyeri kufuatia mlipuko wa gesi. Ajali hii ilitokea pale lori moja la kusafirisha mitungi ya gesi lilipogonga mlingoti wa stima na kusababisha ha kituo cha kusambazia petroli kulipuka katika eneo hilo.watatu hao walionusurika na majeraha mabaya ya moto wamefikishwa katika hospitali ya Kenyatta kupata matibabu zaidi.


Nyeri fire follow up