Serikali ya uingereza kupitia waziri wake wa masuala ya Afrika Henry Bellingham imesema kuwa iko tayari kusaidia umoja wa Afrika kupiga vita kundi haramu la

Al-shabab nchini Somalia. Aidha uingereza imesema kuwa huu ni wakati muafaka wa kukabiliana na wanamngambo hao ambao ni tishio kwa usalama wa kila mtu duniani.


Usalama Wa Taifa