Kuandaliwa kwa mechi ya kandanda nyakati za usiku kumevutia idadi kubwa ya mashabiki wapya ambao walilalamikia kutengwa na ratiba za wikendi. Hii ilidhihirika wazi katika mechi baina ya AFC leopards na tusker hapo jana katika uwanja wa nyayo.