Msanii wa kike kutoka Tanzania Rehema Chalamila ukipenda Ray C baada ya kukamilisha mfungo wake wakujinasua kutokana na madawa ya kulevya yaani rehab kutoka,serikali ya Tanzania ilimkabidhi fursa ya kuelekea marekani kwa mapumziko kwa zaidi ya miezi mitatu kwa ajili ya kumuepusha na uraibu uliompelekea yeye nusura kupoteza maisha yake.
Rais Kikwete aliweza kumfadhili na daktari wa kibinafsi pamoja na ziara hio ya marekani...Ray C anatarajia kuangusha kazi yake mpya hivi karibuni.
READ MORE
Nacada raises alarm over drug abuse victims in need of rehabilitation
Ethiopia demands Eritrea 'immediately withdraw' troops from its territory
NACADA announces 2026 national drug prevention essay writing competition