Kuimarika kwa shughuli za utalii humu nchini katika miezi ijayo, kutategemea pakubwa jinsi kura ya maamuzi kuhusu katiba iliyopendekezwa itakavyotekelezwa. akiwahutubia wadau katika sekta hiyo, katibu mkuu katika wizara ya utalii nchini, Eunice Miima, amekariri kuwa ni sharti shughuli hiyo itekelezwe kwa amani la sivyo watalii wanaonuia kuzuru nchi hii watabadili nia.
Athari Za Kura Ya Maamuzi
By Standard Digital
| Jun. 1, 2010