Ndugu wawili waliokutanishwa na muziki
Kumbe muziki unaibua vipaji lakini pia udungu kwa waliopotea au wasiofahamiana kifamilia.
Wasanii wawili wakutanishwa na muziki na kugundua wao ni ‘cousins’ wa ukoo mmoja wakati mmoja, Bandanah kusafiri kwa ajili ya kushoot video yake jijini Dar Es Salaam Tanzania.
Msanii huyo amefunguka hayo kwenye Konnect show kupitia radio Maisha wakati wakitambulisha wimbo wao pamoja ‘Kidege’ waliompa shavu msanii Naiboi.
“Sisi ni solo artists lakini watu wanadhani ni bendi, mimi na Spizzo Cpy ni ma cousins wa damu. Tukuja kuambiwa na watu wa familia yetu baadae na sasa nimekuwa tukifanya collabo pamoja kutokana na bidi yetu na malengo yetu” akasema Bandanah.
Spizzo na Bandanah wameshiriana kwenye collabo kama vile ‘Misele, Wenge’ na sasa mpya yao ni ‘Kidege’ wakimshirikisha Naiboi.
Keep Reading
- Ways parents can help children set New Year resolutions
- How to parent purposefully this year
- Why structure is your child's greatest security
- Art of parenting highly sensitive children
“Kidege maana yake ni msichana wa ngazi ya juu na ni sheng ya Tanzania lakini pia ina maana ya ndege ndogo” akamaliza hivyo Spizzo Cpy.
-Na; MkazivaeUNIT