Utahisi vipi wakati ambapo maelfu ya watu katika mataifa kadhaa barani afrika wanafariki kutokana na njaa huku wengine waking'ang'ania kununua kofia moja ya zamani kwa takriban shilingi milioni 18 za Kenya.kwa uhondo kamili huyu hapa mwanahabari wetu maitha masha na makala ya Vioja na viroja wiki hii.


Vioja na viroja-Kofia