Tetesi zilipoibuka kwamba mahindi ya kisaki au gmo yameingia nchini wengi wamejitokeza kudai chakula hicho kina sumu na kwamba kinaweza kuathiri wananchi.lakini suala ambalo wengi wanajiuliza ni jee wanaotoa madai haya wana ufahamu wowote kuhusu vyakula hivi?jee vimethibitishwa kuwa na athari kwa wanaovitumia au hata mazingira?na jee vina manufaa yoyote?zubeidah koome amehoji wataalam wa kimazingira na wanasayansi na kukuandalia makala maalum kisakamo cha gmo.katika sehemu ya kwanza ya makala hayo tunapigia darumini vyakula hivi na iwapo kweli vina athari kwa wanaovitumia.


Kisakamo cha GMO; pt1;GMO Maize