Siku moja baada ya serikali kusisitiza ni sharti vijakazi wa nyumbani wakiwemo mayaya kulipwa shillingi elfu saba kila mwezi , baadhi wa wafanyakazi hao wameanza kuhofia kupoteza nafasi zao za kazi. Wasi wasi uliopo kwa sasa ni kuwa hata waajiri wao hawalipwi vizuri. Na huku gharama ya maisha ikiwa juu ,ni wazi kwamba sio wengi watakaomudu gharama ya kuwaajiri vijakazi wa nyumbani. Tuliweza kuzungumza na milicent wanjiru ambaye hufanya kazi ya uyaya na vile vile kufanikiwa kupata stakabadhi ya mshahara ya wafanyakazi wanaolipwa elfu kumi na nne na bado wanaajiri vijakazi


Minimum wage followup - Swahili