Mjadala kuhusu swala la wabunge kulipa ushuru heudna limewakanganya zaidi kutokana na kwamba uchaguzi mkuu umekaribia na hatua hii itapunguza marupurupu yao.  Kila anayezungumzia swala hili anaonekana kuweka kwenye mizani kiwango cha athari ya matamshi yake ikizingatiwa kuwa wakenya hawatasahau matamshi hayo kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wengine wamechagua karata ya kukimya na badala yake kugeukia harakati za kuunda mirengo ya kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu.


Taxes debate/2012 elections-Swahili