Mbali na densi kutumiwa kwenye tumbuizo, pia ni kazi ambayo wengine hutegemea kujipatia riziki. Je taifa letu linathamini na hata kukuza densi hasa za kiasili?katika sehemu ya tatu ya makala halua ya kitamaduni, John Juma anaangazia densi ya kiasili ya waluo na jinsi anavyosimulia, licha ya taifa kuthamini densi kwa utumbuizaji, asante ya serikali imekuwa sawa na mateke ya punda kutokana na malipo duni kwa washiriki. Ni machungu ya wazee ambao densi zao za kiasili zinafurahiwa lakini upofu wa enzi hii ya usasa unavunja bidii yao kupata riziki!


Haluwa Ya Tamaduni 3