Watu wengi hujipata wakihitaji kuongezwa damu kutokana na ajali za barabarani  au hata maradhi. ni jambo linalopelekea mahitaji makubwa ya damu, katika hifadhi ya kitaifa ya damu haswa ikizingatiwa idadi ya wanaohitaji damu imo juu kuliko ya wale walio na hiari ya kutoa damu. Katika makala ya afya yako hii leo Damaris Kitavi anaangazia hali zinazopelekea mtu kuhitaji kuongezwa damu, pamoja na haja ya wakenya kujitolea zaidi kutoa damu.


Afya Yako: Damu