Uharamia baharini hasa katika ghuba ya eden unahofiwa kurejea kwa kishindo huku visa kadhaa vikiripotiwa majuma machache yaliyopita. Hayo yakijiri wadau katika huduma za safari za meli wanasema hali hiyo ni tishio kubwa kwa biashara ya kimataifa na uchumi wa mataifa yanayokua hasa Afrika mashariki. Hata hivyo habari njema ni kwamba meli iliyoshambuliwa na maharamia katika jaribio la kuiteka nyara iliwasili salama katika bandari ya mombasa jana.


Pirates Resume Attacks