Edwin Thuo, mwanamume aliyejitokeza na kudai kuwa mwanawe James Njenga karume hii leo amefungua kesi ili kuyazuia mazishi ya marehemu Njenga Karume yaliyopangwa kufanyika siku ya  jumamosi wiki hii. Thuo anaitaka mahakama izuie kuzikwa kwa Jenga Karume hadi pale uchunguzi wa chembechembe  za damu au dna utakapofanywa ili kubaini iwapo yeye ni mwanawe mwendazake Njenga Karume au la?.