Chikuzee anatafuta management mpya ya muziki wake
Mkali wa ‘Si vibaya kujuana, Kichuna’ na nyinginezo kali ametua studioni leo na kufumua dude jipya 'Kichungu'.
Msanii huyo ambaye ameenda missing kwa muda mrefu tangu urafiki wake na msanii mwenzake wa pwani ya Kenya, Susumila kutibuka.
Abdallah Chikuzee akiwa live Radio Maisha kupitia Konnect show, amesema kwa mikakati yay eye kufanya kazi zuri na bora Zaidi ingalipo baada ya kuonekana ndani ya Wcb Wasafi recors yake Diamond Platnumz.
Chikuzee amefunguka wazi kwamba sasa yeye anahitaji management yenye uwezo wa kufanya kazi ana yeye kwani yupo tayari kwa yeyote anayefahamu masuala ya usimamizi wa muziki ajitokeze lakini amesisitiza kwamba hataki mtu wa ‘Njaa’ wa kumpa matatizo yake badala ya kufanya kazi.
READ MORE
How home buyer was conned Sh65m in Lavington defective property deal
Nuclear power, cancer and claims of toxic waste in N. Eastern Kenya
“Yaaaah sasa nataka niwe na management mpya na mtu yeyeote anayefahamu management skills akitokeze tufanye kazi lakini sitaki watu wa njaa na matatizo yao kuniletea. Mimi sio kwamba nataka kununuliwa gari, tayari niko na gari yangu. Nachotaka tu ni management nzuri.” amesema Chikuzee
Hata hivyo hajaishia hapo pia amezungumzia collabo na wasanii wengine wa kubwa kama vile yake na Wyre ambayo ataachia muda si mrefu.
Clemmo 254 ambaye ni mtangazaji mwenzake Mwende wa Macharia, amepenyeza swali la udaku kwa kumhoji kama Susumila angekuwa makanga wa matatu anadhani atafaa route gani Mombasa huku akilijibu kwamba “Angekuwa Conductor wa magari ya Docks” akasema Chikuzee.
Hatimaye amekubali kwamba yeye kama msanii maaraufu Kenya ameshawahi kuenda kwa mganga kwa shulighi zake za kujiongeza kimuziki.
-Na MkazivaeUNIT