Looming crop failure - swahili
By Standard Digital
| Apr. 21, 2011
Kuna hatari ya baa la njaa endapo hali iliyoko sasa ya ukosefu wa mvua itaendelea. Upanzi wa mahindi huko rift valley umetatizwa na ukame unaonekana kukithiri katika maeneo mengi ya eldoret; maeneo ambayo yanafahamika kuwa ghala la mahindi yanayotumiwa katika sehemu kadhaa nchini. Ni hali ambayo hata idara ya utabiri wa hali ya anga imeonya kwamba huenda mvua isinyeshe katika siku za hivi karibuni