Katika juhudi zake za kuwalenga wajasiriamali barubaru, benki ya kenya commercial imezindua akaunti mpya iitwayo bankika. Huduma hii imezinduliwa wakati benki za humu nchini zinapojizatiti kuwavutia vijana kuwa wateja.