Harambee Stars begin camp for Sudan
By Standard Digital
| Jun. 22, 2011
Timu itakayowakilisha Kenya katika mechi yake ya kwanza ya Komble la Victoria huko Zimbabwe ilitajwa hii leo. Timu hii itakayoondoka nchini hapo kesho itakuwa inatetea taji lake katika mashindano hayo na mkufunzi wao Michael Otieno alisema kuwa lengo lao ni moja tu kule Harare, ushindi.