Mabingwa wa ligi ya voliboli Kenya Pipeline wamekamilisha asilimia themanini ya mazoezi yao ya kuwania dimba la voliboli la bara Afrika kuanzia siku ya jumanne ijayo. Kocha Japheth Munala anatarajia kuzindua kikosi chake kabla ya wikendi hii.
Kenya Pipeline wakamilisha asilimia kubwa ya mazoezi
By Standard Digital
| May. 3, 2012
Premium
Drunk with power: Ichung'wah's 'polished goon' tag grows as he spews insults, threatens dissent
Politics
39 mins ago