Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga na washukiwa wengine wanne wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi Sh200,000  kila mmoja baada ya kufikishwa mahakamani wakikabiliwa kosa la wizi wa mabavu.