Wiki moja baada ya kubuniwa kwa soko la pamoja la jumuiya ya Afrika Mashariki, wafanyibiashara wanadokeza kuwa bado kuna maswala ya kisheria za kibiashara zilizofaa kuandamana na hatua hiyo ili kufanikisha soko

hilo huru. Hata hivyo wadau wanasema bado maswala hayo haswa yanayohusu forodha hayajatatuliwa. Baraza la wafanyibiashara Afrika Mashariki linasema kuwa ni sharti maswala haya yazingatiwe la sivyo soko la pamoja halitafaulu….